Hi,j JF member.
Mimi ni mwanaume natafuta rafiki wa kike baadae awe mke wa kuoa nitaeishi nae kwa miaka yote.Awe mtiifu,mkweli mwenye mapenzi ya dhati.
Karibuni sana ni Pm kwa mawasiliano zaidi
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 pia ni mlemavu Viungo(miguu) ninatafuta mke wakuoa, ninaishi mkoa wa pwani napia nimwajiriwa ktk taasisi fulani, nikimpata huyo mke nitampenda kwa dhati ewe mwanamke kama upo tayar ni pm pia weka namba ya simu,nitashukuru sana kumpata huyo Mwanamke,
Habari,
Natafuta mwanamke wa kunizalia mtoto,umri wangu ni 30, nitamtunza na kutimiza mahitaji yake yote. Alie Tayari ani pm ilikufikia lengo hilo mimi npo Dar.Awe na miaka 24 mpk 32.
Karibu sana
Habari,
Kwa jina naitwa Carlson mwenye umri wa miaka 28, natafuta rafiki wa kike ambae tutakua na ndoto za kuoana baada ya kufahamiana. Mimi nipo chuo mwaka wa pili umri wake awe na miaka 25-28.
Sina ubaguzi wa rangi,dini, wala kabila, elimu yake kuanzia kidato cha sita kama upo tayari ni pm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.