Jibu ni dogo kaka, wewe soon unakua mtu muhimu na wakutegemewa kimaisha, kama ni uongo utanitafuta. Achana na hofu ndoto huja kinyume, kaaakwa amani mtukuze mungu mafanikio yanakuja, ukikaa na mwenye manukato nawe utanukia, aliekupaka hayo manukato ndio dira yako ya kunukia. Vibaya angekupaka...