Yaani kiukweli voda kwa sasa huduma zao wanazitoa kwa kubahatisha, hata mafreelancer wao wanawaibia kweli... ukienda kuuliza majibu unayopewa hata hayaeleweki wala hayaridhishi... Ushauri utawala wa voda kuweni macho kutatua kero za mafreelancer na wateja wenu kwa muda muafaka.. kumbukeni hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.