Recent content by mgumu_wa_ara

  1. mgumu_wa_ara

    Tumjadili Hashim Dogo na Ufalme wake wa Hip - Hop

    Alkua tu mwandishi mzuri, kuusu ufalme iyo hapana aise, lakini rhymin jamaa kweli ALIKUA anaweza, sasa kwanin siku izi hayupo? nnavyojua mtu kuitwa mfalme ina maana we ni kiongozi wa teritory mpaka kufa, sasa hatuwezi kumuita mfalme akati hayupo tena, ha-exist.. tumuiteni best lyrcist au best...
  2. mgumu_wa_ara

    Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

    Waaai gat no tym for ur bullshit.. nshakuzoea
  3. mgumu_wa_ara

    Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

    Chie.. sasa we apo nimeongea na wewe? nmereply jamaa alichouliza, sansana labda nkuambie umesoma kitu kisichokuusu.. afu nmeandika kama alivokua akijibu maswali kule
  4. mgumu_wa_ara

    Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

    Hapana kaka, yule jamaa ni wack.. ipo siku uta amini, kuna rappers kibao bongo wana skillz zaidi yake, afu yeye yupo arrogant na kuna fans wake wake wamem overrate
  5. mgumu_wa_ara

    Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

    kwan we hauoni subject apo juu, thread inazungumzia nin? mbna unajitoa ufaham
  6. mgumu_wa_ara

    Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

    Wamekua disapointed na rapper wao.. kawatia aibu
  7. mgumu_wa_ara

    Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

    Kwanza ameanza kwa kukubali he woz seekin attention, kwasbb kuna kitu alitaka kusema, alivoulizwa ni kitu gani kimekufanya uache mziki akasema haezi kuelezea, fetty akampa options, je ni media hazikupi sapot, au ni mistari imeisha au ni haupati show za kutosha? au competition imekua kubwa...
  8. mgumu_wa_ara

    Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

    Alafu hawachelewi kumdiss mwalimu wao.. hawa hawa ndo wakwanza kusema fid anacopy sana
  9. mgumu_wa_ara

    Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

    Sasa hapa uta staajabishwa na watu wake wakija..
  10. mgumu_wa_ara

    Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

    Sasa mkuje muanze kumtetea nikki, vitu ambavyo kashindwa kujitetea redioni
  11. mgumu_wa_ara

    Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

    Oyaaa wack rapper wenu, anaediss media atakua on air clouds fm muda si mrefu, atakua anazungumzia juu ya yeye kuachwa na hip hop, sio kuacha, KUACHWA NA HIP HOP..
  12. mgumu_wa_ara

    Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

    Nikki is out of my league ndio coz am way too fly.. cnt lizen to his crappy music full of hatrade n jelousy. U cnt beat them, join them.. sio kujenga chuki dhidi ya watu
  13. mgumu_wa_ara

    Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

    Skia, u know nothin, and the nothing u know is wrong.. amna kitu unaojua kuusu hii culture, do some research kaa na watu wanajua hip hop, kaa na watu wanaojua somthin about the industry, watu wanaojua kuusu uhusiano wa media na industry ya mziki, before u do anythin, be positive minded.. acha...
  14. mgumu_wa_ara

    Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

    Yani anadandia dandia tu kila comment na kucriticize, lakn amna analojua.
Back
Top Bottom