Laptop yangu aina ya DELL latitude e6320 inanipa wakati mgumu sana ninapotype document zangu!
Wakati natype, ghafla cursor inahama na kuingia ndani ya text niliyokwishaandika na kuvuruga mtiririko mzima. Hili suala linajirudia mara kwa mara na nimepelekwa kwa wataalam kila mmoja anasema lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.