Recent content by mgosiwangu

  1. M

    KERO Kuna uhaba mkubwa wa maji Ilazo Extension-Dodoma

    Wadau kuna tatizo kubwa la maji Ilazo Extension Dodoma. Inaelekea DUWASA wameshindwa kabisa kutoa huduma ya maji safi. Kwa mwezi mzima maji hayajatoka hata kidogo. Tunaiomba serikali kuhakikisha maji yanapatikana. Huu ni mfano wa bili iliyokuja kwa mwezi mzima. Tumepata unit mbili pekee za...
  2. M

    Kuna sababu gani ya msingi inayotufanya tushushe bendera ya taifa saa kumi na mbili ya jioni?

    Wakuu nimekua nikijiuliza mara kwa mara kwamba ni kwanini tumekua tukiishusha bendera saa kumi na mbili jioni? Kuna ambao wamekua wakidai kwamba ni ishara ya kuashiria kuisha kwa shughuli za kiserikali je hii ni sawa? Kama ni kweli je serikali inalala? Je haijafikia mahali pa kubadili hizi...
Back
Top Bottom