Nimeangalia kwa makini kampeni za CCM ,naona kinachoendelea ni matamasha tu !
Kama vile fiesta au festival ya wasafi . Unafanyaje kampeni bila kuwa na mshindani ? CCM wanawinda mnyama
Ambae tayari wameshamuua, ccm Wana roho mbaya haijapata kutokea ,mara zote nawaambia kupitia sanduku la...
Ccm ni kama yule malaika mkuu aitwae Lucifer Ambae alilewa sifa akatamani kuwa mungu !! Akatupwa na Sasa tunae mpaka ndani ya nyumba takatifu za ibada !! Ccm ni wakongwe wa hizi mambo ndani ya vyama vya upinzani vyote wanapeleka watu wao na wengine ni usalama wa taifa wanakuja kama raia...
Hao ndio chadema ni kama nyoka Fulani anaitwa koboko yeye Huwa anarusha sumu hata majani yakitikisika tu !
Wakati mwingine hawataki hata nyoka wenzake anaona wote ni adui zake !! Chadema anaweza kukuona binadamu pale unapokuwa upande wake lakini saa yoyote ukiwa upande mwingine wa chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.