Recent content by Mgamba3

  1. Mgamba3

    JamiiForums Tanzania Soko la viazi mviringo

    Ni matumain yangu mu-wazima wa afya! Natarajia kuvuna viazi mviringo mwanzo wa mwezi March, yeyote ajuaye soko zuri au kusaidia kupata taarifa ya soko zuri anisaidie/tuwasiliane. Nimelimia njombe. Natanguliza shukrani!
Back
Top Bottom