Recent content by mgalah

  1. M

    Mifuko ya pension

    Kuna GEPF umeshawah kuusikia uko vizur sana unatoa mikopo mbalimbali kwa wajasiriamali na ndio mfuko pekee wa kwanza tanzania kuanzisha mpango wa hiari kujiwekea akiba uzeeni VSRS ambapo akiba hiyo utaichukua muda wowote pindi upatapo dharura ni tofauti na ile michango mingine ambayo mpaka...
  2. M

    Mifuko ya pension

    Kisheria ni lazima kila mfanyakazi kujiweke akiba itakayomfaa uzeeni pindi atakaposhindwa kujiingizia kipato yaani baada yakustaafu na kwa wananchi wasio na ajira maalum wana hiari yakujiwekea akiba hiyo ila ni hiari yako kujiunga na mfuko wowote wa pensheni kulingana na sera za mfuko husika...
Back
Top Bottom