OGD nakifahamu vizur yan ila namna ya upimaji wake ndio umenishinda yan nilimpelekaga mshua kupima asee ye mwenyewe alishindwa hadi wakampiga sindano ya usingizi 😄. Ngoja nikapime tu bacteria H pyrol
Pia naomba kuuliza.
Parachichi
Apple
Ndizi mbivu
Wali
Ugali
Nyama
Maziwa mtindi
Maziwa fresh(boxed like asas and first choice)
Wine.
Mayai ya kukaanga au kuchemsha
Vitu gani Kati ya hivi sipaswi kutumia kabisa?
Maana nasumbuliwa na acid reflux na tumba kujaa ges.
MWENYE UFAHAMU NAOMBA ANIJUZE...
Mie nipo nnje ya mada kidogo.
Namba msaada anaefahamu dawa ya kumaliza tatizo la vidonda vya tumbo. Vinanisumbua mno hadi kupelekea hadi mgongo pia kuuma na kuwa kama mtu anachoma sindano hiv.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.