Recent content by MFS

  1. M

    JamiiForums Tanzania Volunteering Opportunity (10 Post)

    Apply by CLICK HERE
  2. M

    JamiiForums Tanzania Volunteering Opportunity (10 Post)

    Volunteering Opportunity (10 Post) Environmental Foundation for Development (EFD) is seeking a self-motivated, outgoing, creative, sustainability-addicted, hard-working, and eager individual to serve as a development Volunteer with a special focus on grant support to.  Conducting activities...
  3. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya ofisini vinauzwa

    sina picha ya ziada ya zulia, ila lina ukubwa wa mita 3.5 kwa mita 3.5
  4. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya ofisini vinauzwa

    Mkuu zulia ndio lipo, Bado liko ktk hali nzuri sana. karibu
  5. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya ofisini vinauzwa

    Sofa limeshachukuliwa ila zulia bado lipo,,, zulia lipo katika hali nzuri sana maana halina mda mrefu tangu linunuliwe
  6. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya ofisini vinauzwa

    Habari wadau wa JF... Nauza baadhi ya vifaa vya ofisini hasa kwa watu wenye nia ya kufungua ofisi.. Sababu ya kuuza ni kwamba nimetanua ofisi hivyo nimehamia sehemu nyingine kwa hiyo nalazimika kuuza baadhi ya vifaa. 1. Taa ya umeme ina uwezo wa kuplay music, ina support USB, bluetooth na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza pikipiki aina ya Skymark

    PIKIPIKI IMESHAUZWA
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Kitanda cha Mtoto na kitanda double decker

    juu kilikuwa 3 x 6, chini 5 x 6
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Kitanda cha Mtoto na kitanda double decker

    Cha double kishanunuliwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Kitanda cha Mtoto na kitanda double decker

    Mkuu iyo hailipi bei ya icho kitanda ni 450k na kimetumika miezi 4 tu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza pikipiki aina ya Skymark

    Mkuu hiyo pikipiki haina tatizo lolote zaidi kubadilisha oil tu. Nilikuwa naitumia mwenyewe kwa hiyo nilikuwa naifanyia service mara kwa mara.
  12. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza pikipiki aina ya Skymark

    Mkuu ina mwaka, upatikanaji wake wa vifaa kuna maduka ya skymark ambayo yanauza vifaa vyake. Kwa dar kuna duka lipo kariakoo na mnazi mmoja ndio makao makuu yao. Lakini pia mikoani kuna branch zao. Njoo uione tufanye biashara
  13. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza pikipiki aina ya Skymark

    hiyo ndio picha ya muonekano wake wa sasa
  14. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza pikipiki aina ya Skymark

    mkuu hiyo bei hailipi
  15. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza pikipiki aina ya Skymark

    ina mwaka
Back
Top Bottom