Arusha 2015. Waarusha watatimua vumbi na Wachagga kutawala jiji kisiasa. Waarusha amkeni kudefend jiji lenu la sivyo mtajikuta mnapambana na waloliondo kwa kipisi cha ardhi
ha haaa !! Jamani jamani watanzania tunaelekea pabaya. Hawa watoto ni innocent bado wala hawajui ugumu ya maisha, hii ni mida ya michezo na maburudiko sio kujitosa kwenye uwanja wa mapambano wa kisiasa.Mie naona ni kama child abuse ati. kisheria mwananchi anaruhusiwa kupiga kura akiwa na mika 18...
Haya maneno yaku yanasikitisha sana maana serikali ya Tanzania ni ya mfumo wa vyama vingi no sio CCM tu. Kama cjama cha FF imeshindwa mbona usipeleke madai yako kwa mbunge wako au kwa mwanasiasa amabaye siye wa CCM kuliko kumsuta FF amabaye ana haki ya kuwa mwanachama wa chama yeyote...
Ahh jamani tusizuushe maneno tu bila ukweli. Mimi sina fahamu kwamba sera za India kwa Tanzania ni kuharibu maendeleo ya hospitali zetu.
kama huelewi mkuu kuna lions club amabayo memba wao wengi ni wahindi na wanawasaisdia Watanzania wengi katika basic healthcare (hata mpaka kwenye...
Siku mkiuumwa mnakimbilia India ati, mbona hapo mnasahau ubaguzi na kwenda kuwapapatikia hawo ambao nyie mnawachukia. Kuna tofauati baina ubaguzi na mila. Kama wahindi wangewakatalia nyiwe kutibiwa India ndo hapo mseme mebaguliwa sio kuleta uzushi kwenye mazishi ya watu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.