Mfano mim kwa majina ya mwanzo jina langu kat ya yaliyobandikwa chuon na langu lilikuwepo sasa kuna mengine yalotoka juz kiujumla na langu halimo hata sahv kwny ac inaandika not alctd na wakat mwanzo ilikuwa loan break down
Sema ndo hvo unakuta capacity ya chuo katika fakat flan may be civl engeneering ni wanafunzi 90 na waliojaza first priority ni wanafnz 3000 haxa hapo y usiwe na prexha jmn!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.