Recent content by Mfikirishi

  1. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Mahakama: CAG hawezi kuondolewa Madarakani kwa Utashi wa Kisiasa au Ukomo wa Muda wa Bunge

    Kesi kupinga kuondolewa kihuni kwa Dr. Nchimbi nayo ifunguliwe! ccm wamezidisha uhuni.
  2. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania PUBLICATION NOT DONE BY THE ACCUSED

    Watahangaika sana na Tundu Antipas Mughwai Lissu... Lakini hawatashinda!
  3. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

    Asomae na aelewe... ...Mahali pale mbwa walipoiramba damu ya wale aliowaua, mbwa watairamba na damu yake, naam, damu yake...
  4. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

    Na bado kuna mapigo mengine...! Damu si maji umwage mwage tu utakavyo!
  5. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Kauli za Mwenyekiti BAVICHA Taifa Deogratius Mahinyila zamponza, aitwa polisi kwa mahojiano

    Kuna wimbo maarufu kule ccm ni full ubaguzi na vita! Kwa akili zenu wala si tatizo! Wapinzani tuwalete tuwachane chane tuwatupe... ccm tuwalete tuwakumbatie tuwabusu https://music.youtube.com/watch?v=2fEtpB5wFRg&si=cxNsSOWLZYAJthRt
  6. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Katiba waliyoivuruga UKAWA ilikuwa na sifa hizi hapa

    Huwezi kupata Katiba Mpya kwa kutegemea wabunge waliowengi waliotokana na michakato haramu! Ni bora mara elfu Katiba ichelewe kupatikana LAKINI tupate Sheria inayoweka checks and balances kwenye michakato ya uchaguzi Ili kupata viongozi makini na wazalendo!
  7. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Kama Watanzania wote tungekuwa na akili timamu, tungeweka kando tofauti zetu za kisiasa na kuwapigania kwa nguvu zote Lissu, Dr. Nchimbi na Pole Pole

    Hakika... WaTanganyika wengi hawajui kutofautisha vitu vyenye athari ya muda mrefu kwenye maisha yao! Wao wanahangaika na majina ya watu... Watahangaika na furaha za muda mfupi... Hawafuatilii vitu kwa kina... Hawajisomei... Wao wape kichwa cha habari mengine wataibuka nayo!
  8. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anakitandika na kukichapa Kiingereza utafikiri amezaliwa katikati ya Jiji la London Uingereza ama New York Marekani na kufundisha OXford

    Yaani hapo TV iliwekwa mbele yake ili asome sentensi moja baada ya nyingine. Elimu mbali mbali ni tatizo nchini!
  9. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Kwani Korona imerudi? Samia ahutubia Bunge la IPU Arusha kwa njia ya Video🤣🤣

    Hapo TV iliwekwa mbele yake ili asome sentensi moja baada ya nyingine. Ovyo sana huyo mtu!
  10. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Kama Watanzania wote tungekuwa na akili timamu, tungeweka kando tofauti zetu za kisiasa na kuwapigania kwa nguvu zote Lissu, Dr. Nchimbi na Pole Pole

    Mambo yatabadilika siku WaTanganyika wengi watakapo jitambua na kuanza kufuatilia siasa za nchi hii kama ambavyo wanafuatilia soka la Simba na Yanga!
  11. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Kama Vichwa Vya Wicknel Chivayo na mkewe havikupatikana haiwezi kuwa Hawakuwemo kwenye Ajali

    Hivi hakuna namna kimama kikapotezwa kichwa huko huko?
  12. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Wana option 4 mezani kwao ila sio ya kunyonga.

    Lissu atakata rufaa... Na aibu yao itazidi kuwa kubwa zaidi!
  13. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Hivi ile miradi yao ya collabo itakuwaje sasa.
  14. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Bei za ATCL hazitakiwi kupishana sana na za mabas kama njia ya ATCL kupata faida

    Wabongo wengi wanapenda kusifia vitu bila kuvifuatilia kwa kina. Wanatia mashaka sana.
Back
Top Bottom