Recent content by MFAMBA M

  1. M

    Would you go to bed with me Tonight?

    Duuuh karne hii ya magonjwa kibao ya zinaa nakula mita siwezi kukubali
  2. M

    Nini tafsiri ya mabinti kuzaa wakiwa bado wapo kwa wazazi?

    Tafsiri yake ni mmomonyoko wa maadili uliochangiwa kwa kiasi kikubwa na utandawazi, watoto wa siku hizi wanajua mambo mengi na makubwa yanayoendelea duniani ambayo mengine hayaendani na umri wao. Na kibaya zaidi wazazi, jamii na hata taifa kwa ujumla hawajui/wanapuuza bila kujali kama mambo hayo...
  3. M

    Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

    Lakini nasikia wanawake wa Tanga wamekalia kuwahudumia wanaume tu, kwenye masuala ya kushirikiana kutafuta uchumi hawawezi kama mme ni mkulima usubiri kuletewa msosi mzuri tu shambani na kupetiwa petiwa usiku na si mke kukusaidia kushika mpini alime ng'oo! Cjui wanatanga hili ni la kweli?
Back
Top Bottom