Recent content by MfalmewaKiha

 1. MfalmewaKiha

  Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

  Tangu Alhamisi nachungulia km kuna jipya ila jamaa naona alikuwa anatuangua mizuka yetu iko vp, huenda ye mwenyewe alisimliwa akaona Asimlie
 2. MfalmewaKiha

  Tigo acheni wizi kwa vijana wa Kitanzania

  Wizi wa Tigo nilijua kuwa wanaibia tu walaji kumbe hata nyie wapishi mnaibiwa, Anyway pole sana, Jitahidi ubadilishe fikra fanya mambo mengine.
 3. MfalmewaKiha

  Tigo kwa heri, natumia line yenu nipigeni mawe

  Siamini ninacho kiona ayse
 4. MfalmewaKiha

  Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngara aondolewe Mara moja, amekuwa kero

  Tunaomba majina yake,kamili ili Tuweze kumTrack kwenye mazungumzo yake
 5. MfalmewaKiha

  Hii picha ya Hayati Magufuli na Mama Janeth imeniumiza na kunitafakarisha sana

  Kwa uandishi wako huu bila shaka we ni nshomile w katelero
 6. MfalmewaKiha

  NIDA nakuja kuchukua kitambulisho changu

  Bro hapo ulipo upewe ulinzi, Unajitambua sana
 7. MfalmewaKiha

  NIDA nakuja kuchukua kitambulisho changu

  Sisi wote ni wa Tanzania Kwanini tusipendane tu, Mtu akiwa na shida msaidie tu kama inavyotakiwa. Kwa kufanya hivyo hata milango ya Baraka inafunguka
 8. MfalmewaKiha

  NIDA nakuja kuchukua kitambulisho changu

  Hujawahi kunyanyasika Ndio maana umesema hivyo,
 9. MfalmewaKiha

  NIDA nakuja kuchukua kitambulisho changu

  Bro,Bro,Bro nimekuita mara 3, Nipo makini sana kuliko unavyo dhani,Ninacho jua hela zote au malipo Yote ni control number Basi,Na term hii nta record video za tukio mwanzo mwisho
 10. MfalmewaKiha

  NIDA nakuja kuchukua kitambulisho changu

  Ukisema hivyo watasema tuna watisha,
Top Bottom