Recent content by Mfalme wa Waluo tz

  1. M

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Arfi) atupa kadi kikaoni, atishia kujiondoa chamani!

    Ninachoamini kuwa duniani hakuna watu waliokamili tukiachilia masuala ya ushabiki wa vyama UCHADEMA&UCCM&UVYAMA VINGI ni picha ya samaki kwa mwenye njaa mapinduzi ya kweli kila binadamu atafute mbinu mbadala ya kujikomboa badala ya kuwa chambo kwa wanasiasa
  2. M

    Seif Tumekusikia; Sasa jiuzulu na iondoe CUF kwenye SUK!

    mwanao akisema wewe uhame nyumbani wamlete baba mpya utakyubali
  3. M

    Tunajifunza Nini kutokana na Baraza Dogo la Mawaziri 10 la Somalia?

    ni bora unapotoa post ni vizuri na wewe utueleze wewe unaonaje
  4. M

    Tunajifunza Nini kutokana na Baraza Dogo la Mawaziri 10 la Somalia?

    baraza dogo na kubwa linatokana na mahitaji ya nchi husika ndugu zangu
  5. M

    KIZOTA-Chumbani kuhesabu kura

    Maisha ya Watnzania yamekuwa akadebra kadebra hivyo ni raisi kuwashawishi hasa kwa hoja kama hii isiyo na masikio tupe ushahidi
Back
Top Bottom