Mimi mwenyewe yamenikumba hayo hayo sikuchagua ata 1 ya art ila wamenipanga sijielewi home rwanda huku naishi apartment sina mtu wakuniguide kwenye masuala ya uhamisho ila nasoma huku mbaya zaidi hata iyo HGL nina D science nimepata vizuri sana.nifanyeje ndugu zangu.
Jamani wakuu limenikuta tatizo kama la ndugu hapo mimi nimefaulu masomo pcb eti wamenipanga hgl wakati hayapo ata moyoni kabisa nisaidieni ndugu zanguni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.