Recent content by Meridah Tough

  1. M

    Wanaume huwa mnahitaji nini?

    Habarini zenu ndugu zangu? Kwa kweli inafikia kipindi nakuwa sielewi hizi ishu za mahusiano. Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano na mkaka wa miaka 33. Amenizidi miaka 4. Na tumekuwa naye kwa muda mrefu sana. Katika mahusiano yetu hayo, kiukweli sijisifii lakini nimejitahidi kuwa mwema sana...
  2. M

    Mrejesho wa mpenzi wangu 'mtoto'

    Mkuu ningekuwa na trust kwake, nisingemwambia ajicommit. Ninaogopa kurudi tena, tukaendeleza yaleyale. Kuna vitu vingi tumepitia. Ingawa sijaviandika vyote. Ule uaminifu haupo tena. Hata mtu akikuandikia msg kuwa anakupenda, huoni wala kusikia chochote. Ni kama umeona msg ya mtu wa kawaida tu...
  3. M

    Mrejesho wa mpenzi wangu 'mtoto'

    Niliogopa, maana mtu mwenyewe kwa kweli. Ananipa kigugumizi
  4. M

    Mrejesho wa mpenzi wangu 'mtoto'

    Niliogopa, maana mtu mwenyewe kwa kweli. Ananipa kigugumizi
  5. M

    Mrejesho wa mpenzi wangu 'mtoto'

    Hapana mkuu. Natafuta trust.
  6. M

    Mrejesho wa mpenzi wangu 'mtoto'

    Hapana. Tena mimi ni muoga wa ndoa. Ila akijicommit, hawezi kufanya mambo ya namna hiyo. Trust me. But kwa sasa hata nimkute na mwanamke mwingine, mimi nalalamika kama nani? Yan mi ni nani yake? So kama yupo serious tujicommit.
  7. M

    Mrejesho wa mpenzi wangu 'mtoto'

    Mkuu umewahi kukaa kwenye mahusiano ambayo umechoka kuona drama kila siku? Ndio situation ambayo ninayo. Nimechoka. Nimegive up. Ningekuwa nataka kurudi aliponitafuta tu, ningemkimbilia. Na siwezi kurudi unless nione vitendo vimebadilika. Ndipo trust yangu inaweza kuanza kujijenga upya. Sasa...
  8. M

    Mrejesho wa mpenzi wangu 'mtoto'

    Labda nimekosea maana "hataziacha" ninamaanisha hatozifanya tena. Anaachana nazo.
  9. M

    Mrejesho wa mpenzi wangu 'mtoto'

    Wako habari zenu. Mara kadhaa nimekuwa nikileta mada juu ya mahusiano yangu na kwa kweli nashukuru sana wanajukwaa kwa ushauri mbalimbali ambao kiukweli nimefaidika sana. Baada ya mivutano mingi baina yangu na mwanaume huyo ambaye niliwahi kulalamika hapa kuwa hajui nini anahitaji katika...
  10. M

    Kuwa na mpenzi "mtoto" inahitaji ujasiri sana

    Anahisi kuwa ninampenda sana na siwezi kuondoka kwake. Hata akisikia natoka na mtu mwingine, hatoamini. Lakini hajui kuwa uwa inafika kipindi, mwanamke akichoka, anamaanisha amechoka. Yan kama mimi nimechoka kabisa ndio mana sitaki kurudi ingawa yuko radhi niwe naye. Mkuu usiwaze mambo ya kadi...
  11. M

    Kuwa na mpenzi "mtoto" inahitaji ujasiri sana

    Mkuu sidhani kama kipengele cha umri kina matter sana. Kama kweli kungekuwa na upendo, hilo si la msingi. Wapo waliooana wakiwa ni agemate, wapo waliozidiana miezi na wale ambao wanawake ni wakubwa zaidi ya mwanaume. Amenizidi 2 yrs na sioni kama ina matter.
  12. M

    Kuwa na mpenzi "mtoto" inahitaji ujasiri sana

    Hapana si lazima michepuko. Mara nyingi wenye michepuko wana muda mwingi wa kupoteza. Kama mtu umeamua kuwa na fulani na uko busy na mambo yako, unapata wapi muda wa kufanya uchepukaji? Nina kaka. Ni mtu smart sana. Hachepuki kabisa na hata akiwa na girlfriend haendi kwingine. Ameoa akiwa na 46...
  13. M

    Kuwa na mpenzi "mtoto" inahitaji ujasiri sana

    Sababu hana misimamo kama mwanaume. Hata leo ananitumia ujumbe kunilaumu kwanini simtafuti wakati jana tumekubaliana kila mtu ashike lake, anajisahaulisha. Namwitaje mkubwa sasa ingawa yeye ni mkubwa kwangu.
Back
Top Bottom