Recent content by Meneja CoLtd

  1. Meneja CoLtd

    Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

    Mm Nina nia ndugu nipe ushauri nisinase
  2. Meneja CoLtd

    Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

    Kila mtu anasema nitoe hela asa bill ya mahari si inaweza kuja M 5
  3. Meneja CoLtd

    Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

    Sawa mkuu mm hy cku ikifika nitahakikisha mpaka mama pima anazima. Yaani ukoo mzm unazima, Ile kunywa bia mpitanjia
  4. Meneja CoLtd

    Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

    Hili lishajadiliwa nalishakua clear now
  5. Meneja CoLtd

    Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

    Mm naomba ushauri tu, hela sio ishu ntk nijue taratibu zao mana kama ishu ni hela ningekuja kuomba msaada wa hela huku
  6. Meneja CoLtd

    Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

    inabidi nijipange jpo cjaambiwa hivo, namm napeleka barua ya posa nakama wangetak hivoo wangenambia
  7. Meneja CoLtd

    Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

    Bint anakaa dar, n mama yk bnt naongea nae sana nayy nd kasisitza mm niende wanifahamu nani anaoa. Km wanalengo lengin cjui
  8. Meneja CoLtd

    Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

    Nipe possible Sasa wananiitia nn
  9. Meneja CoLtd

    Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

    Sasa Sasa Lzm niende mana niongea kuhusu kwnd mshenga pekeake mama mzazi akanambia mshenga ataulizw ww ndo muoaji?
  10. Meneja CoLtd

    Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

    Mbupu ndonini hiyo, nipe possible cku znyew zmebaki chache
  11. Meneja CoLtd

    Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

    Vibunda kivipi mkuu? Mm napeleka barua tu. Hiyo process yenyew inameza kama 200k nawao watak Tena vibunda
  12. Meneja CoLtd

    Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

    Hamna Nipo serious ntk kuoa ila kwanza sijajua taratibu Za wanagairo naniwakristo, wangekua waislamu nisingesumbuka
  13. Meneja CoLtd

    Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

    Hhh Hh Kwamba wanaweza nibananisha
Back
Top Bottom