Kuna changamoto katika mfumo wa ajira.
Baadhi ya watu wamesoma kozi tofauti katika ngazi ya cheti na diploma, lakini nafasi za kazi zinapotangazwa kulingana na kozi walizosoma katika ngazi ya cheti, mfumo unawakatalia kuomba kwa madai kuwa hawana sifa zinazohitajika.
Nashauri mfumo uruhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.