Recent content by Mellius

  1. Mellius

    CO interview questions

    Naomba mwenye hints za maswali yanayoulizwa kwa KADA ya afya upande kwa CO (CLINICAL OFFICER)
  2. Mellius

    Nataka kusoma BSc in Health Information Science

    Naomba kuuliza mwenye ana details za kutosha kuhusiana na Bachelor of Science in Health Information Science pamoja na soko lake pia likoje. Nilitaka kusoma hiyo bachelor ya HIS.
Back
Top Bottom