Recent content by MellaCreatives

  1. M

    Mkurugenzi wa TAKUKURU, uko wapi katika sakata la wafanyakazi wa TBL kudhulumiwa fedha zao?

    Liamshe dudeeeee [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
  2. M

    Mkurugenzi wa TAKUKURU, uko wapi katika sakata la wafanyakazi wa TBL kudhulumiwa fedha zao?

    Sadolioki kama huna data usichangie mada. In short hakuna mfanyakazi ambae amewahi kuchangia huu mfuko. Wamekuja hapa JamiiForum kutafuta msaada ambao hakuna wakuwasaidia sababu wamechemka kote kuanzia RITA na vyombo vingine vya sheria sababu hawana evidence. Sana sana mnaojiita wanasheria...
  3. M

    Mkurugenzi wa TAKUKURU, uko wapi katika sakata la wafanyakazi wa TBL kudhulumiwa fedha zao?

    How sure you are??? Huyo fisadi mbona aliondoka na M700 lakini still hajaridhika???
  4. M

    Mkurugenzi wa TAKUKURU, uko wapi katika sakata la wafanyakazi wa TBL kudhulumiwa fedha zao?

    Majina kaanza kutaja mtoa mada babu. Na hao walotajwa hapo ndio wamemtuma huyu mtoa mada so waje wao wajieleze coz ndio wanaojiita victims katika hili
  5. M

    Mkurugenzi wa TAKUKURU, uko wapi katika sakata la wafanyakazi wa TBL kudhulumiwa fedha zao?

    But ni muajiriwa, muulize mtoa mada kama yeye ni muajiriwa wa TBL[emoji23]
  6. M

    Mkurugenzi wa TAKUKURU, uko wapi katika sakata la wafanyakazi wa TBL kudhulumiwa fedha zao?

    Issue sio kuhusika kula ama lah! Let’s be fair guys tusichangie mada ambayo mtoa mada hajawa wazi kuhusu uhalali wa hao wanaodai kumiliki share za TBL! Sioni tija kwa hao wanaodai wanadhulumiwa kuja mitandaoni kumuomba Mkurugenzi wa TAKUKURU kuwasaidia wakati kuna vyombo vya sheria ambavyo...
  7. M

    Mkurugenzi wa TAKUKURU, uko wapi katika sakata la wafanyakazi wa TBL kudhulumiwa fedha zao?

    Sasa naanza kuelewa kwani ni Yuda alimuuza Yesu kwa vipande vya fedha ilihali Yesu alionyesha kila muujiza ambao haukuwa na thamani ya kitu chochote kile! Pesa mwanaharamu [emoji23] Bila shaka mtoa mada ni miongoni mwa former employees wa TBL ambao ama ni wastaafu, waliopunguzwa au kufukuzwa...
Back
Top Bottom