Recent content by meetnawe

  1. meetnawe

    JamiiForums Kama wataka ijua meetnawe na ulikosa mahojiano yetu na radio free africa(rfa) jana, ijue/uliza hapa

    Katika tahrir tukifanya kila mtu akaandika habari bila hata ya kua na rakifi, hii inaweza ikatumiwa na watu vibaya, yani mtu anaweza akajiunga tu ili kwenda kuweka ujinga au matusi, sasa ili kuzuia hio ndio mana tumefanya ili kupost basi tunataka tuwe na ukakika kwamba kuna jamii inakujua kwa...
  2. meetnawe

    JamiiForums Kama wataka ijua meetnawe na ulikosa mahojiano yetu na radio free africa(rfa) jana, ijue/uliza hapa

    Asante sana kwa taarifa hii, ni kweli ilitakiwa ikupeleke kwenye page ya ku edit taarifa zako, nafikiri baada ya dk30 itakua hivyo. Na asante saaana kwa kuipenda
  3. meetnawe

    JamiiForums Kama wataka ijua meetnawe na ulikosa mahojiano yetu na radio free africa(rfa) jana, ijue/uliza hapa

    kuna form ya sign up utajiza jina, email na password tu, then tutakutumia email ili kuhakiki. Kama watumia simu bonya sihemu iliyoandikwa sign up itakupeleka kwenye fomu ya kujiunga
  4. meetnawe

    JamiiForums Kama wataka ijua meetnawe na ulikosa mahojiano yetu na radio free africa(rfa) jana, ijue/uliza hapa

    Ha ha ha, ila kama mfumo na namna inavyotumika umeielewa basi hili wala usitie hofu... Hata mbuyu nao ulianza kama mchicha unakumbuka? 90% ya sites mpya zinazoanza huanza hivyo. Ntahakikisha hautakua bored tena. Ila asante kwa sapoti
  5. meetnawe

    JamiiForums Kama wataka ijua meetnawe na ulikosa mahojiano yetu na radio free africa(rfa) jana, ijue/uliza hapa

    Ni Bure kwa akounti zote, za kawaida na za radio/televisheni
  6. meetnawe

    JamiiForums Kama wataka ijua meetnawe na ulikosa mahojiano yetu na radio free africa(rfa) jana, ijue/uliza hapa

    Hii ni kwa ajiri ya vipindi vya radio na televisheni
  7. meetnawe

    JamiiForums Kama wataka ijua meetnawe na ulikosa mahojiano yetu na radio free africa(rfa) jana, ijue/uliza hapa

    Tunashukuru sana kwa watanzania wote wanaoendelea kutuunga mkono na kuikuza meetnawe, shukrani pia ziende kwa Radio Free Afrika - Mwanza, Tanzania kwa kuona thamani yetu na kutuunga mkono katika vipindi vyake vya wiki iliyopita na jana usiku. MEETNAWE ni mtandao mpya wa kijamii uliotengenezwa...
Back
Top Bottom