Recent content by Meesha200

  1. M

    JamiiForums Tanzania Usaili wa mchujo wa Foreign Service Officer unakuwaje?

    Habari zenu wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote aliyewahi kufanya usaili wa hiyo kada hapo juu anipe muongozo wa aina ya maswali aliyokutana nayo hapo nyuma - Nitashuru sana.
Back
Top Bottom