Maono yangu kuhusu TANZANIA TUITAKAYO yamejikita katika nyanja 6 ambazo ni elimu, afya, Teknolojia, uchumi, mazingira na miundombinu.
1. ELIMU.
-serikali kuendeleza mchakato wa elimu ya watu wazima (MEMKWA) hasa vijijini.
-serikali kutoa vifaa shuleni vya TEHAMA vya kufundishia na kujifunzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.