Recent content by Media Zetu

  1. M

    Mashine ya kutengeneza mkaa wa kisasa inauzwa

    Mashine bado zipo kaka, nahitaji ya umeme sasa Unajua nimedunduliza pesa kwa muda sasa nikisema nisubiri subiri itapata matumizi mengine
  2. M

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Habari yako bwana Biashara2000. Nimramua Ku share mrejesho wa kilimo changu. Kwanza kabla sijasema zaidi, niseme tu nilikuwa naogopa sana kutuma pesa kwa MTU ambaye nimempata jf. Lakini kwa kuwa umaskini wangu umenikaba na wewe ukasema kuwa ungenitumia mafunzo kisha nilipie ikanipa ihakika...
  3. M

    Mashine ya kutengeneza mkaa wa kisasa inauzwa

    Km ukasema mashine zimeisha na naweza kutengeneza kwa mkono bila mashine sasa kwa mini usinitumie hayo mafunzo ili niajiri vijana wa Ku produce Mkaa. Nimegundua hii subiri subiri mpaka nipate pesa ya mashine nazidi tu kuwa na maisha ya shida ya pesa. Nisipoanza sasa itafika mwakani Niko hapa...
  4. M

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Mi nadhani watanzania sasa tujaribuni nasi kujifikirisha. Tusipende kumezeshwa vitu. Kama wewe ushatembelea greenhouse ya mtu ukakuta anatumia simtank au anatumia mabomba ya chumba kujengea greenhouse yake, usitoke pale umekufa moyo eti ooh mimi sitaweza hichi kilimo kwa kuwa ni expensive...
  5. M

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Kwa akili ya kawaida tu, mtu kama unajenga kitu, unafanya vipi ili kukata gharama? Mfano ndio maana ikaelezwa kuwa watu wengine huwa wanatumia mapipa kuhifadhia maji badala ya simtank ambazo ni expensive. Ila sijui Biashara2000 mwenyewe ana idea gani, ila kwa mimi uelewa wangu ni kuwa nadhai mtu...
  6. M

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Usi jurge watu. Unataka akuelekeze shamba lake lilipo ili umezeshwe?
  7. M

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Babu kuna maji ya dawasco! Isitoshe kuna watu hawawezi afford simtank, wanatumia mapipa!! Nyie ndo wale mliotafunishwa mnashindwa kufikiria kivyenu.
  8. M

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Ndo maana smart2014 akakushauri badala ya kushambulia watu, kwanini nawe usijaribu kujifunza badala ya kushambulia wenzako. Na kumbe unakubaliana kuwa ku google hakufai na hakutoshi? Sasa kama unakubaliana na Biashara2000 kwanini sasa unamshambulia?????
  9. M

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    We kwanini usianzishe lako watu walitembelee, au huna uwezo unasubiri ukakopi shamba la mtu na ku paste. Halafu usipende ku judge mtu kama humfahamu
  10. M

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Huoni wewe kumuita mwenzako tapeli ni kumvunjia heshima? Inaonekana wewe hujiheshimu. Mwenzio kawasaidia watu wengi wamejiajiri wenyewe kwa sababu ya mafunzo yake ya kufundisha mkaa. Soma thread yake ya mkaa uone watu wanavyosema wamesaidiwa na huyu mdau. Huoni wewe unam judge bila sababu ya...
  11. M

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Naona nyie wawili lenu moja. Mnaweka maslahi yenu mbele kuliko kuwasaidia wananchi wa kawaida wanaojaribu kuinua maisha yao kwa kilimo ambacho ndio uti wa mgongo wa maisha yao. Angalau huyu mdau Biashara2000 amejaribu kusema yeye anaweza shauri ni jinsi gani unaweza anza na sh. 500,000 ambayo ni...
  12. M

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Maana naona an release ebooks mara kwa mara, sasa kama biz ingekuwa haiendi vizuri basi asingekuwa anarelease hizi ebooks
  13. M

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Katika uzi huo, minimum capital anayohitajika kuwa nayo mtu ni sh mil. 2.5. Nani katika nchi hii mwananchi wa kawaida anaweza kuwa na sh. mil. 2.5? Au na wewe ni capuitalist unavutia biashara kwako? Wale walee
  14. M

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    We huwezi tu kuwa na confidence namna hii. Inawezekana aidha watu wananunua sana vitabu vyako maana naona kila kwenye thread zako kuna sentensi ya namna hii. Au umeridhika na maisha. Zaidi nahisi ni kuwa watu wananunua sana copy zako maana kwa ninavyojua watu wengi wanarespond sana katika...
Back
Top Bottom