Recent content by meddyBMW lover

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini baadhi ya maskini huona utajiri ukipatikana kwa njia haramu, huku matajiri wakisema: “Fanya kazi kwa bidii na uaminifu”?

    Utajiri wa kweli ni tabia ya mtu anayojenga mfn savings , investment , Bussines pamoja na bahati pia na uvumilivu. Umaskin pia unaletwa na fear , kutomanage pesa katk saving , investment na biashara pamoja na kukosa bahati. Sio lqzm kuwe na nguvu za giza make Mungu ndio mpaj wa vyote .
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alie uwawa kwa risasi amekaa na house girl kwa miaka 8. Ni ishara kwamba she was a good woman.Tanzanians are very poor judges of character

    We ni mwanaume ongea kwa busara , usiendeshwe na hisia koz hujui nini kiko nyuma ya hio ndoa . Ndoa ina mambo mengi sana ingawa mwanaume ajafanya maamuz mazuri , hata mwanamke pia anaonekana ana tamaa . Kwaio ongea kwa hoja za kuelewek sio Hisia na mihemko . Asante
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    Sawa asante kwa jibu lako , wewe mwenye watoto umepata faida gan kuwa nao ?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    Kweli bro mahusiano ya sahv hayaelewek , cha msingi nasaidia wazaz , ndg ninaowapend inatosha. Aman ya moyo ni nzur sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    Kwa upande wangu nikipat tu mafanikio kuwasaidia watu ninaowapenda ni jambo zuri kwangu , sion umuhim wa kuwa na mpenz , zaid ni kuvurugiana aman ya moyo na akili
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    So upumbavu kwani nilazima kuwa na mtoto . Ni swala la vipaumbele vya mtu .
Back
Top Bottom