Recent content by meddy_dr

  1. M

    Viungo vya mwili kufa ganzi: Elewa Chanzo, Tiba na mambo muhimu ya kuzingatia

    Huyo atakua na tatizo linaitwa Neuropathies. matibabu yake ni kumpa dawa za Neurosupport kama vile Neuroton n.k lakini pia ni vizuri akafanyiwa checkup ya magonjwa mengine kama vile syphilis n.k kwani pia husababisha
  2. M

    Tatizo la kuwashwa mwilini baada ya kuoga: Fahamu chanzo, ushauri na tiba

    Mimi ni medical student na pia ni muathirika was tatizo hilo. Nilianzwa na tatizo hilo nikiwa kidato cha kwanza mwaka 2005 na ilikua sababu kubwa ilionipelekea kupata hamu ya kusoma udaktari kwan nilihangaika vya kutosha. Tatizo hilo linaitwa urticaria linaweza kua acute or chronic na...
  3. M

    Januari Makamba,kwanini unatulazimisha kusoma kitabu chako?

    Mimi natokea eneo jiran kabisa na jimbo analoongoza January Makamba..Jimbo lake lenyewe watu ni masikini wa kutupa, barabara mbovu kila kitu ni cha mwisho hlf anataka urais duh kazi kweli.. Ameshindwa kuwakomboa watu wa Bumbuli Tanga jimboni kwake eneo dogo kabisa ndo ataiweza tanzania.??
Back
Top Bottom