Recent content by Med95

  1. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hali Hali tete sijui why placement zimepunguaaa. Daaah.. since april 22 . Kuna namna
  2. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    B Usiweke silaha chini. Kuna muda wanatoa mikeka night kali, hapa kama umeingia oral ni kuzama online frequently
  3. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nakuambia. Watatuua
  4. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Bado tunavuta subra. Imani ipo kubwa sana. Ni suala la muda tu. Kila kitu huja kwa wakati sahihi. Pia congrats coz pdf imeshiba.
  5. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hahaha
  6. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Afadhali. Hapa kuna mikeka itatoka rafu kdg angalau wengine tunaweza kubahatika
  7. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kawaida . Usichoke...
  8. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Naona tupo live tunasikilizia... Leo labda kuna pdf itakua uploaded naona dalili.
  9. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Daaah since tarehe 2 mpaka leo no placement. Sijui inakuaje hii na wamesema kuna uhaba mkubwa wa watumishi wa umma..
  10. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kama umeingia oral na bado kwenye app inasoma selected for oral imani bado ipo..
  11. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Vp umeanza kudata nn
  12. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Raia tunaosubiri placement tupo hoi balaaa... Allaah atafungua milango tyu inshaallaah tuendelee na subra labda wanaandaa mikeka mikubwa..
  13. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mtihani wa kusubiri uhitajike ili uitwe...
  14. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mpaka tumalize usafi sio maandamano...
  15. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kila baada ya dakika kadhaa mtu unajikuTa umepitia kwenye site yao...
Back
Top Bottom