Recent content by mdosi wako

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hadi hasubuhi hii nipo nmb lakini bado bila bila
  2. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwaka wa tatu huu tokea niajiriwe sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikumu

    Haina haja inabidi wenye kutakiwa kulipa ndiyo walipe
  3. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwaka wa tatu huu tokea niajiriwe sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikumu

    Tulipeni jamani na sisi tunafamilia zinatutegemea
  4. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwaka wa tatu huu tokea niajiriwe sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikumu

    Ushauri mzuri nitaufanyia kazi
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwaka wa tatu huu tokea niajiriwe sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikumu

    Ukitaja kada wata connect dots tutasumbuana,kikubwa ujumbe uwafikie watulipe maisha yaende
  6. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwaka wa tatu huu tokea niajiriwe sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikumu

    Haya nitafanyia ushauri wako kazi
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwaka wa tatu huu tokea niajiriwe sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikumu

    Kukosa ajira ni swala moja na kupata stahiki zako wakati umepata ajira ni swala jingine kama siyo muhimu basi litolewe uone kama kutakuwa na malalamiko
  8. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwaka wa tatu huu tokea niajiriwe sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikumu

    Asante kwa kashfa ila Mungu yupo
  9. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwaka wa tatu huu tokea niajiriwe sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikumu

    We hujui tu inapunguza morali ya kazi
Back
Top Bottom