Recent content by mdaya

  1. M

    Sasa naamini Zitto aliwekewa mizengwe

    Kwa yote yanayoendelea Sasa ndani ya CDM, kwa kula matapishi yao na kutuaminisha Lowassa Ni safi na anafaa kutuongoza, naanza kuamini ndugu Zitto aliwekewa mizengwe ndani ya CHADEMA ili atoke.
Back
Top Bottom