Kero:Mtaa magaka,kata ya kahama-ilemela.Mtaa wa magaka ni mkubwa lakini unaongozwa na mwenyekiti mmoja kutokana ukubwa wa eneo baadhi ya huduma muhimu zinakuwa mbali na makazi.
Kuna changamoto ya Barabara,shule kuwa mbali,usalama na baadhi ya mahitaji ya msingi kiasi kwamba wakazi hulazimika...
Wakazi wa Mtaa wa Magaka, Kata ya Kahama – Ilemela, wanaomba mamlaka husika kuangalia upya ukubwa wa mtaa huo kutokana na changamoto zinazotokana na eneo kuwa kubwa huku likiongozwa na Mwenyekiti mmoja.
Kutokana na ukubwa wa mtaa, baadhi ya huduma muhimu zimekuwa mbali na makazi ya wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.