Recent content by mdau dsm

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaro imevunjika Mtaa wa Muhonda na Muheza Kariakoo

    Juzi kati kuna mtaro ya maji machafu imekatika na kusababisha kudumbukia tayari za magari na hata watu wanaotembea na hata huleta harufu mbaya katika makazi na kuathiri afya za watu Tunaiomba jamiiforums ipeleke kero hii kwa wahusika Hapa ni mtaa wa muheza na muhonda kariakoo karibu na China...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya foleni bandarini

    Mfano hii meli imesasma toka January tar 28
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya foleni bandarini

    Kuna gharama zimepanda container zikiingia dp world karibia 300,000
  4. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya foleni bandarini

    JamiiForums Tafadhali tusaidie kufuatilia kupitia mtandao za kijamii kama Instagram na Facebook Asante
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya foleni bandarini

    Kaka hata silent ocean wameshindwa kutoa mizigo kwa wakati wanasema subiri mwezi 1
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya foleni bandarini

    Mkuu hata silent ocean wanashindwa kutoa mzigo kabla ya mwezi
  7. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya foleni bandarini

    Ndo juhudi hii kutumia jamii forums kuulizia
  8. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya foleni bandarini

    Ndugu wasomaji Sisi kama waagizaji tumeona mada mpya toka January mwaka 2026 kutoka bandari ambapo zamani kuhamisha container kutoka Bandari kwenda bandari kavu icd ilikwainachukua siku 5- 7 lakini toka Januari hali bandarini imetisha maana kuhamisha container inachukua karibia mwezi mmoja...
  9. M

    JamiiForums Tanzania City council kuhusu malipo ya kuungiza container mjini

    Ndugu wasomaji Nikisikitika kupata habari kwamba saivi city council ya dar es salaam wanahitaji mwagizaji mzigo yaani mwenye container aende ofisi za city kujulisha kwamba container yao inatoka na akafanye malipo ya contena kuingia mjini kabla ya container kuingia na isipofanyiwa hivo kuna...
  10. M

    JamiiForums Tanzania City council dar es salaam contena

    Tunaomba jamii forums ifautilie hiyo na tunaomba wahusika (city council( nao wa tusaidie zaidi na hii shida au watuelze maana yao kufanya hivyo Asante
  11. M

    JamiiForums Tanzania City council dar es salaam contena

    Ndugu wasomaji Tulisikia kwamba saivi city council ya dar es salaam saivi wanahitaji mwemye contena aende ofisi za city ku fanya advance malipo ya contena kuingia mjini na wakati kwa hali hii sisi wengi tunajua hizi kazi hazina uhakika kwamba contena inatoka saa ngapi au lini kwa hiyo hii ku...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fujo za Kariakoo

    Sawa boss basi turafutie maana tunaingea kitu ya maana hapo hatuchezi na sisi ni walipa kodi ndo maana tunaongea
  13. M

    JamiiForums Tanzania Fujo za Kariakoo

    Ndugu wasomaji Kama mnavyojua soko letu la kariakoo inavyopiga kazi kwa biashara lakini kwa saivi fujo zimezidi sana maana machinga wapo kila kona inakuwa usumbufu kwa sisi wafanyabiashara tunaolipa kodi na tumepanga duka maana wateja hawafiki madukani zetu kwa shida kama za parking salama ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya bajaji na bodaboda jijini Dar

    Hasa maeneo ya Kisutu na kariakoo bajaji na bodaboda wamekuwa kero sana hawafauti foleni wala alama za barabarani na huko wakisababisha foleni zisizo na sababu tunaomba hatua dhidhi zichukuliwe ku punguza hii kero. Hatuna na shida na biashara yao lakini ni lazima wapewe elimu ya kuendesha kwa...
Back
Top Bottom