Recent content by mdau 2025

  1. M

    Mambo yanayoisibu SAUT Mwanza

    Kweli Balozi VC ni mpole sana, na upole wake ndo unaomponza. Huyu muEthiopia aliwahi kumdharirisha Professor mmoja akaenda Immigration kuhoji juu yake, wakamwambia office ya Immigration Tanzania wanazo kesi zake nyingi za kudharirisha wafanyakazi wa SAUT walipoanza fuatilia undani, Balozi Mpole...
  2. M

    Mambo yanayoisibu SAUT Mwanza

    Sijui watanzania tumerogwa na nani tu. Wewe u mmoja kati ya walamba makalio ya muethiopia, na ndiyo maana unaropoka hayo. Tena umechochea moto kwa kuongeza petrol. Wengine hatukuwa na muda wa kupambana na huu uzandiki unaonendelea hapa SAUT maana kwa umri wangu 27yrs nipo busy kusaka ajira...
Back
Top Bottom