Recent content by mcsage

  1. M

    GE2015 Lowassa: Viwanda bila elimu ni sawa na kazi bure

    Nimefatilia hii thread kwa makini sana, na bila ushabiki nimegundua wanaopinga sera ya elimu ya Mh.Lowasa wote wamechangia uzi huu kwa point za kijinga sanaaaa na waliochangia kuunga mkono hii sera ya elimu wametoa strong points. .Kweli Tanzania elimu inahitajika
  2. M

    Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    You shall see ndugu.tushachokaa.hata sisi tuliopo jf tunawakilishA wengi mno na tunaendelea kuwaeleza ndugu jamaa na marafiki katika familia zetu, kaya, mitaa, kata n.k kuwa sisiemu haifaiiiii
  3. M

    Sugu aongoza watu kwenda kutoa bango la Magufuli soko la Mwanjelwa. Adai ni soko la wananchi

    Tusipige kelele humu. Tutajadiliana mengiiii.ila at the end of the day " october the 25th" kura kwa Lowasaaaaa!!!
  4. M

    CCM waaibika Arusha

    Sometime " you gat to do what you have to do" . .kama CCM wanafanya kufuru katika ufisadi, ni bora kuwatosa hata kwenye shughuli za kijamii , ili wajue Tanzania tumeamkaa!!!
Back
Top Bottom