Dah...hili nalo labda ukweli..basi waje kwenye gam huku kitaa..mbona sana tu ukikomaa unapata chako...UKITAKA KIKUBWA NJOO MTAANI TUPIGENI KAZI HAINA KUREMBA KWA SERIKALI HII....akituchosha sana tutamripoti ngazi husika..
Soma nilicho andika juu..sio swala la taharuku.Nikitu yeye kujua anafanya kazi na jamii ya tamaduni tofaut..fikiria watani wenyeji wa huku kiasi wanyiramba..anaambiwa na kijana mdogo..bibi nitolee uzembe wako toka nje ya ofisi..HII SI LUGHA SALAMA..pamoja me si mtumishi lakin najua Kila LUGHA...
Kuwa na amani kabisa kama unauona wa majungu.Lakini sie ni wananchi na tunafata huduma tu pale..omba lisikukute bibi au babu ulie karb nae amefokwa nawe upo karb
Hawa wamesha chosha sana...kuna kijana mmoja wa kiume sijui hajui maadili ya utumishi wa uma..amekuwa kikwazo kwa wananchi.Lugha anazotoa kama anamiliki hisa NIDA..wakuu wake wa kazi wamuonye watumish kama hawa huleta mtafaruku sana katika jamii.KAMA SIE TU WANANCHI WA MTAANI TUNAJIBIWA KAMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.