Recent content by MCNGAPORE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za chuo na mkopo kwa form for

    jinsi ya kutuma maombi ni kwa njia ipi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za chuo na mkopo kwa form for

    deadline ya kutuma maombi ni lini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la mkuu wa mkoa mtwara 19April 2014 lilizungumzia shule zipi?

    Mheshimiwa alitangaza shule mbili kwa ajili ya wanafunzi wa masomo ya sayansi na hisabati ili kuzalisha wanafunzi watakao jiunga na vyuo vikuu kusomea maswala ya gesi na mafuta, shule hizo ni zipi kwa majina?, na wameanza kupokea wanafunzi?. naomba anayejua anifahamishe tujenge elimu kupitia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri usomaji wa kozi zinazohusiana na nishati

    Vpi nafasi zpo?kama zipo mwisho wa maombi ni ln ndugu zangu?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Selection ya vyuo 2014 inatoka lini?

    yani mi mwenyewe nasubir!
  6. M

    JamiiForums Tanzania MIT kuna nafasi kwa ajili ya Form 4?

    kwa hiyo nafasi zipo mbeya institute au la?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikataba ya wawekezaji sekta ya elimu

    dah!msaidien anayefaham bac!
  8. M

    JamiiForums Tanzania MIT kuna nafasi kwa ajili ya Form 4?

    hivi chuo cha DIT kinatoa mafunzo ya diploma ya oil na gesi?nisaidie nifaham!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri usomaji wa kozi zinazohusiana na nishati

    asante mkuu!je vp muda wa kujiunga na mwisho wake ni lini?pia ada na sifa za kujiunga kama mnafahamu naomba mnifahamishe.
  10. M

    JamiiForums Tanzania DIT kuna nafasi kwa ajili ya Form 4?

    mkuu inamaanisha kwenye ada kuna mkono wa serikali kwa wote au?napenda kujua samahan!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri usomaji wa kozi zinazohusiana na nishati

    nisaidieni kunifahamisha nafasi ya kusoma diploma katika vyuo vya serikali vinavyotoa mafunzo ya uchimbaji wa gesi na mafuta,asanteni!
  12. M

    JamiiForums Tanzania DIT kuna nafasi kwa ajili ya Form 4?

    asante sana kwa kunijulisha swali langu la mwanzo!pia napenda ulizia pale DIT tofauti ipo kati ya wale wanaochaguliwa na baraza moja kwa moja na wale wa kuomba wenyewe?
  13. M

    JamiiForums Tanzania MIT kuna nafasi kwa ajili ya Form 4?

    nauliza nafasi ya kusoma mbeya institute of technology kwa form IV zipo?pia mwisho wa kutuma maombi ni lini?
  14. M

    JamiiForums Tanzania DIT kuna nafasi kwa ajili ya Form 4?

    nafasi DIT kwa form IV upande wa direct entry scheme zipo?na mwisho wa kutuma maombi ni lini?,msaada jamani!
Back
Top Bottom