Kila mtu ana maisha yake bana,,ww unataka mchizi akasome upo tayari kumlipia ada na kuilea familia yake,,au unaongea tu maisha unadhani ni ya majaribio au sio,,ni wangapi unaowajua wamesoma na wanayumba tu town hapa,,maisha yanasonga sana tunatakiwa kuangalia mbele ni vipi tutaweza kupambana na...