Recent content by Mchugaree

  1. M

    Natafuta fursa za utalii Zanzibar

    Kwa sababu na mazingira niliyokuwepo naona panafikika kirahisi (nipo Tanga) na nahisi kutakua na watalii wengi huko sabab ya beach zake
  2. M

    Natafuta fursa za utalii Zanzibar

    Utaratibu wakujisajili upoje kwa mtu wa bara na gharama zake kwa ujumla Ni zipi
  3. M

    Natafuta fursa za utalii Zanzibar

    Maisha ya Zanzibar yapoje katika sector ya utalii, mim ni guide najua lugha kama English Kijerumani na Spanish, nianzie wapi kwaajili yakupata fursa Zanzibar?
  4. M

    Kijerumani: Lugha yenye fursa

    nawashauri vijana wenzangu mnaotafuta fursa nje ya nchi mchangamkie hii fursa yakujifunza kijerumani,mtakuja kumshukuru mwalim badae mimi nilishaaanza kusoma kwake kupitia bandiko lake hapa lamwanzo kbsa,nampaka sasa channel zangu zakwenda abroad zimefunga zaid kwakukutana na watu wenye...
Back
Top Bottom