Hao askari wana wakubwa wao, kama ni kituoni OCS hakusaidii, yupo, OCD, Mkoani yupo RCO na RPC, wapo wakubwa wao makao makuu ya jeshi na kitengo cha malalamiko kipo, fuata hayo, watachunguzwa na hatua stahiki zitachukuliwa, vinginevyo waone wanasheria watafanya utaratibu, hao askari waitwe...