Alionekana recently akifungua studio ya gospal music ya Flora E. Mbasha, just to be curious, hawa waimbaji wetu wa music wa injili hawaoni busara kuwatumia viongozi wa kidini kuliko hawa wanasiasa wenye madoadoa kwenye jamii au ndo nitoke vipi zaidi?
Shame on You Ole Naiko, I just sympathy with you as a maasai couz swahili is a big problem with you guys,MAAA... may be YOU meant something else we could not understand you....au alimaanisha kuziba mashimo nini ?I guess EL is behind this move, but I tell you for sure , if you remain safe under...
Watafiti watusaidie, kama sio movie ya kisiasa ya kizushi, mbona baba wa taifa JKN hakupewa utitiri wa PhD's ijapokua uongozi wake ulikua juu na wa kutukuka ? Haingii akili wakati taifa likisota kwa hali mbaya ya uchumi na ufisidi ulio kubuhu, mkuu wa nyumba akapambika tu bila kua na maswali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.