Recent content by Mchio

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kishapu wawaliza BAWACHA

    Kwa nini sisi watanganyika tunachelewa hivyo kuwang'oa hawa mafisadi madarakani?
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapata viongozi wake wa kikatiba kata ya sekei 20/07/2014

    Hope you have seen the picture.
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapata viongozi wake wa kikatiba kata ya sekei 20/07/2014

    Check picture now.
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapata viongozi wake wa kikatiba kata ya sekei 20/07/2014

    picha nsha upload Kamanda
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapata viongozi wake wa kikatiba kata ya sekei 20/07/2014

    https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/693373-chadema-yapata-viongozi-wake-wa-kikatiba-kata-ya-sekei-20-07-2014-a.html
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapata viongozi wake wa kikatiba kata ya sekei 20/07/2014

    Uchaguzi Mwingine utafanyika baada ya miaka mitano kama watayamudu vizuri majukumu yao.
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapata viongozi wake wa kikatiba kata ya sekei 20/07/2014

    Picha zipo unatumia comp or phone . Maybe file format.
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapata viongozi wake wa kikatiba kata ya sekei 20/07/2014

    Peoples ! Power, Chadema imepata viongozi wake waliochaguliwa kikatiba katika kata ya sekei tarehe 20/07/2014. viongozi waliochaguliwa wataongoza kata ya sekei kwa kipindi cha miaka mitano. Pictures below zinaonyesha wagombea waliochaguliwa pamajo na viongozi wa matawi na misingi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Manaibu Mabalozi, Hakuna Mzanzibari….! Hata Miccm itokayo Zenji haikuchaguliwa ~ Salaaaleh

    Typing error, balozi wa Tanzania nchini Rwanda
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Manaibu Mabalozi, Hakuna Mzanzibari….! Hata Miccm itokayo Zenji haikuchaguliwa ~ Salaaaleh

    Jk hajakosea, Zanzibar hawachangii chochote kwenye uendeshaji wa gharama za muungano. Hata mabalozi wazanzibari wanatumia kodi za watanganyika tuu no sent from Zanzibar hivyo waache kulalamika kwani hawawezi gharamia Hata ubalozi mdogo Rwanda. Kupe wamezidi kutunyonya watanganyika
  11. M

    JamiiForums Tanzania Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

    Mkuu asiyekuelewa basi , Hakuna sababu mawaziri na baadhi ya viongozi wa serekali kutibiwa nje ya nchi kwa kodi zetu. Wangeboresha hospital zetu wote tupate tiba bora. Haiwezekani mlipa kodi apate tiba mbovu then waziri ambaye hakatwi PAYE apate tiba bora Kwa kodi ya mlalahoi. Vivyo hivyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya bomu la Soweto: CHADEMA kufanya Mkutano wa hadhara Olasiti Arusha tar 15 June 2014

    Kesi ya mbuzi huwezi mpelekea chui .
  13. M

    JamiiForums Tanzania News; Diwani wa NCCR ktk H/W Kasulu ahukumiwa kifungo cha miaka 7 jela

    Makosa ya ccm hayaonekanagi mkuu
Back
Top Bottom