Mimi ni mkulima wa tumbaku wilayan Kakonko, Kigoma. Msimu wa mwaka 2024/2025 tulikuwa na mkataba na MAGEFA GROWERS LIMITED ambapo masoko yote matatu yaliisha mwezi wa sita na ilitakiwa tulipwe pesa ndani ya siku kumi na nne(wiki mbili), lakini Hadi Leo hii hamna malipo yaliyofanyika
Tukijaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.