Hiyo kawaida sana mbona binadamu akiwa hai uitwa mtu na akifa anaitwa marehemu mifano iko mwizi kila jina lina sababu zake watu ubadilishwa majina kutokana na matendo yao.
ACT ilikuwa inawakilishwa na Zitto tu mbona hakususwa tatizo ni umimi kwani yeye akiwa mbunge pekee wa CHADEMA hatoweza kuongea na kupewa hoja na chama chake kupeleka bungeni.
Ingekuwa bora mngetuonesha aliyekamatwa nazo lakini si kutuonyesha kwamba zimekamatwa wakati mtuhumiwa hayupo ndio nini sasa,labda mumeamua kupotosha umma ili ieleweke kuwa ni kweli kumbe usanii ,sasa nimeanza kuona umuhimu wa kuzima mitandao maana haya wanaoona hawafiki hata 1000