Recent content by mchepukomatope

  1. mchepukomatope

    Second Round Application TCU

    St. Joseph ni chuo kipya na Campus mpya kabisa. usipotoshe watu wewe kama hutaki kukiomba kaa kimya waache wenye uchungu na shule wakasome acha kukariri wewe
  2. mchepukomatope

    Second Round Application TCU

    Wadau Heshima kwenu wote. TCU wameachia second round application rasmi leo kwa Tangazo hili hapa http://www.tcu.go.tz/images/pdf/2nd%20round%20application%202015.pdf pakua hilo tangazo uweze kuona maekezo zaidi. kama umekosa round ya kwanza ujue umekosa kutokana na ushindani hivo unatakiwa...
  3. mchepukomatope

    Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    Acha hasira na matusi kijana. Bishana kwa hoja. IMTU clinical rotation zao wanafanyia Muhimbili na mwananyamala na kwingine kwa taarifa yako. Kale ka hospitali kao hakatoshi kuwamudu wanafunzi wote. Bishana kwa hoja na thibitisha hapa kuwa unaweza kujenga hoja zenye mashiko
  4. mchepukomatope

    Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    Mkuu mm nakubaliana na hoja yako. Hapa ni siasa tu na fitina ndo zinatawala. Haya mabaraza ndo chanzo cha yote ukifatilia vizuri mwanzo kbsa mwa huo mgogoro bodi ya famasia ilipinga kuwa haitambui chuo lakin baadae chuo kikaotoa barua ya usajili inaipongeza kiu kwa kuanzisha program za afya TZ...
  5. mchepukomatope

    Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    Kilikuu hebu thibitisha hoja zako hapa mbele za wadau unachokidai kuwa chuo hakijasajiliwa na bodi husika. Juzi walipoandamana Katibu mtendaji wa TCU aliwajibu wazi kabsa kuwa chuo kinatambulika na bodi zote akataja Pharmacy bod, medical council na lab bod pia. Sidhan kama yule Professor na...
  6. mchepukomatope

    Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    Acheni kuongea vitu msivokuwa na uhakika navyo. Mkiambiwa mthibitishe kuwa chuo hakijasajiliwa na hakitambuliwi mtajibu? Vielelezo mnavo? Au kwa kuwa mnasikia tu watu wanasema ooh KIU hakijasajiliwa mara hakitambuliwi...fanyeni utafiti kwanza mjue. Chuo kimesajiiliwa na kina Certificate of...
  7. mchepukomatope

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    *** Mwisho wa kufanya application ni tarehe 15 August mwaka 2015. soma Guidebook ya TCU kwa maelekezo zaidi
  8. mchepukomatope

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Mkuu habari, Kwa hizo poits unaweza kuomba Bsc Education ukamajor kwenye bilogy na Agriculture. unaweza pia kusoma kozi za SUA ambazo zinataka requirement ya Agriculture ambayo una D=2, na Biology ambayo una D=2 jumla point 4 ukiongeza na hiyo E ya Chemia una = 4.5points. jumlisha na GS au BAM...
  9. mchepukomatope

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Habari mkuu, Hiyo kozi ya maungo ya binadamu inaitwa Prosthetics and Orthotics ni nzuri sana ila vijana hawaipendi sana bt ina hela sana. Huyo mdogo wako nashauri aweke MD- UDSM, MD MUHAS, MD- CUHAS na MD- KCMC. kwa nature ya ushindani kwa hizo points za BBB+ ana jumla ya points 10 ukijumlisha...
  10. mchepukomatope

    Admission Points za TCU?

    Mkuu minimum admission point za TCU ni 2points yani 2 principal passes minimum 2 E's (E E) kwa waliomaliza 1988 hadi 2013. Na minimum 2 points yani 2 passes minimum 2 D's (D D) kwa waliomaliza 2014 kuendelea hadi wa mwaka huu 2015. Kiwango cha chini cha kuingia chuo kikuu kwa viwango vya TCU...
  11. mchepukomatope

    Admission Points za TCU?

    Marcopolo hatuko hapa kwa ajili ya kubishana na kupotosha umma. Tupo kuelimisha wadogo zetu. Huo mfano nilioutoa hapo juu unafafanua jinsi grade zinavohesabiwa. Acha kupotosha watu kuwa GS na BAM ni 2pts hicho kitu hakipo. BAM na GS ni 0.5 na inahesabiwa moja tu ndugu yangu acha ubishi kwa kitu...
  12. mchepukomatope

    Admission Points za TCU?

    Hujasoma vizuri mkuu inachukuliwa moja tu kati ya GS na BAM mojawapo ambayo ni 0.5 soma vizuri uelewe hizo 2pts hazipo. Acha kupotosha wadau
  13. mchepukomatope

    Admission Points za TCU?

    Ndugu hebu fuata mfano huu hapa OLD GRADING SYSTEM KWA WALIOMALIZA 1988 - 2013 A=5 B=4 C=3 D=2 E=1 NEW GRADING SYSTEM WALIOMALIZA 2014 - KUENDELEA (BRN) A=5 B+=4 B=3 C=2 D=1 E=0.5 F=0 1. kama umefanya PCB mfano umemaliza 2013 kurudi nyuma umepata Phy- C , Chemistry - C , BIOS - C hapa una...
  14. mchepukomatope

    Msaada kuhusu TCU na NACTE

    Mdau habari, tafadhali soma hapa http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Call%20for%20Application%20form%206_2015.pdf kisha soma hapa pia http://www.tcu.go.tz/images/pdf/How%20to%20apply%20NTA6_2015.pdf kwa maelekezo zaidi ya kuomba kupitia NACTE. wenye sifa za Diploma wote wanaomba kupitia NACTE na...
  15. mchepukomatope

    Wanafunzi wa Kampala waandamana hadi TCU

    Mkuu nakubaliana na mawazo yako ila naomba nikurekebishe kidogo. 1. Mwanafunzi anapochagua chuo anapewa nafasi tano (5 Choices) za kuchagua chuo au kozi anazotaka kusoma 2. TCU haimpangii mwanafunzi chuo au kozi nje ya zile 5 selections za mwanafunzi alizojaza kwenye profile yake kupitia CAS 3...
Back
Top Bottom