Recent content by mchelemchele

  1. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mchele kipindi cha novemba, 2012 na januari - machi, 2013

    Watu watakao hitaji watawasiliana nasi kwa email tuliotoa hapo awali.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mchele kipindi cha novemba, 2012 na januari - machi, 2013

    Mchele huu umelimwa Tanzania na tumeulima sisi wenyewe hapa kwetu Tanzania
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mchele kipindi cha novemba, 2012 na januari - machi, 2013

    Ni mchele aina ya saro umelimwa Tanzania
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mchele kipindi cha novemba, 2012 na januari - machi, 2013

    Ndugu, Najua watu huwa wanapenda sana kukosoa kama wewe hivi, lakini ukweli huwa unabaki pale pale. sisi ni wanakikundi cha ujasiriamali, huu ni utambulisho; shughuli tunayokutangazia ni biashara ya mchele. Anuani ni hiyo email. Kwa watu wenye mahitaji hayo watatutafuta. Mwisho wa yote...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mchele kipindi cha novemba, 2012 na januari - machi, 2013

    Ndugu, uwe na amani sisi tumetoa email inatosha kwa watu makini kama wewe waweza kutuma email. mchele huu unalimwa Tanzania na tumelima wenyewe.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mchele kipindi cha novemba, 2012 na januari - machi, 2013

    Nimeweka email mkuu mchele
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mchele kipindi cha novemba, 2012 na januari - machi, 2013

    JAMII MEMBERS HELLO, HABARI ZA MCHANA WANA JAMII. NAPIGA HODI JAMVINI. POLENI NA HONGERENI KWA KAZI YA KUFAIDISHA JAMII. NAPENDA KUWATANGAZIA KUWA SISI NI KIKUNDI CHA WAJASIRIAMALI. TUNA UZA TUTAUZA MCHELE KUANZIA MWEZI NOVEMBA, 2012 NA JANUARI, 2013. TUNATAFUTA WATEJA WAKUNUNUA MCHELE KWA...
Back
Top Bottom