Recent content by Mchele_kumwaga

  1. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala

    Ok sawa japo huwa sitafuni Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala

    Ok asante mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala

    Biopsy mara mbil ndugu imechukuliwa,,,,niko dar ndugu na tuliishia nkafanye ct-scan sema gharama ndio najichanga,,,hospital ni kubwa tu hapa mjin ila sidhan kama itifaki itaruhusu kuitaja,,,bado napambana ndio maana nikafikia kushare humu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala

    Asante,,h pylori na OGD kipi kinatoa majibu sahih ya uwepo wa ulcers?? Mara nying napima nakutwa nao napewa dawa wanapotea nikipima tena hao h pylori. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala

    Shida ni kujua nan mkweli,,, nimeshajaribu kadhaa bado ngoma ngumu... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala

    Hapana sina kitovu kikubwa,,nilishapima hivyo sina(amiba,typhoid),,ni muda mrefu nahangaika,toka 2009.
  7. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala

    EXPULSION me ni mwembamba kabisa,,stress kwa sasa ni kwaajili ya maumivu ninayopata.
  8. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala

    Hammy,hivyo vyakula nimeshasahau radha yake,,muda mrefu sivitumii.
  9. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala

    Kipimo cha OGD hakikuonyesha vidonda
  10. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala

    Hakuna tofauti nikiwa nimekula au tumbo likiwa tupu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala

    Hapana niliacha muda mrefu sasa
  12. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala

    Wasalam wadau, Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala. Lilianza mwaka 2009,nilipoenda hospital nikafanya kipimo kinaitwa barium meal nikaelezwa nina vidonda vya tumbo,nikapewa dawa lakini hazikusaidia,nikahamia tiba mbadala haikusaidia. Mwaka huu nimefanya kipimo cha OGD...
Back
Top Bottom