Mimi nimeota nahangaika na kifaranga kinakaribia kufa kila mtu alikua ananishangaa,kila nilipokua nakihafadhi kile kifaranga nikirudi tu nakuta kipo hatarini au kuna mnyama anataka kukishambulia na nisingeweza kukiacha sababu kila sehemu ilikua hatarishi kwake mara ya mwisho nilipoenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.