Recent content by mcharuko.mcharu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    braza tafuta dawa yenye generic name-TERBINAFINE upake mara 2 kwa siku kwa muda wa wiki 1 tu! Upake vaseline katikati ya siku kwa kuwa huwa inakausha sana ngozi! Kila la kheri kaka!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bajaj for sale-MOROGORO

    Nauza Bajaj yangu ya mwaka 2009 iko MOROGORO, iko registered kwa biashara licence ina'expire April 2012, iko katika hali nzuri haina tatizo lolote. Bei tsh 2,500,000-NEGOTIABLE Sababu ya kuuza-sina muda wa kukimbizana na madereva wasumbufu, wameniibia sana hela! Samahani nimeshindwa kuweka...
Back
Top Bottom